Biashara Niko Nayo Lakini Sina Mchumba Ama Mpenzi Wa Kitanda Na Ndiposa Niko Hapa-Debora Kutoka Mombasa

“Habari wasomaji wenzangu mimi naitwa Debora niko Mombasa natafuta mchumba kijana chipukizi awe mcha Mungu na mwenye kazi ya kueleweka niko tayari anioe nikae naye hata kesho, kama kuna mtu yuko tayari tuwasiliane .Mie mali ninayo staki mali yake. Kazi ninayo. Ploti ninayo. Biashara niko nayo lakini sina mchumba ama […]